Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,050
- 1,359
Husika na kichwa cha habari hapo juu natafuta simu ya kununua aina ya androd bei niliyonayo ni laki moja cash aliyonayo aniPM
Iko xperia,220000tsh
Iko xperia,220000tsh
±±±±±±±±±±Simu aina ya android?? Mimi sio mtaalam lakini hakuna simu aina ya android. Hio ni operation system tu
Husika na kichwa cha habari hapo juu natafuta simu ya kununua aina ya androd bei niliyonayo ni elfu themanini cash aliyonayo aniPM mi nipo Dodoma
Simu aina ya android?? Mimi sio mtaalam lakini hakuna simu aina ya android. Hio ni operation system tu
±±±±±±±±±±
Anatafuta simu ya ANDROD
±±±±±±±±±±
Mkuu unataka uoshee Instagram na simu yako ya androd nini?
Hahahahh. Nahisi alitaka kuandika 'Smartphone', keyboard iliteleza. Kama unayo mpe BURE tu bro, mtu mwenye hana pesa ndefu. Nina Galaxy S1 naweza kumpa bure
Hahahahh. Nahisi alitaka kuandika 'Smartphone', keyboard iliteleza. Kama unayo mpe BURE tu bro, mtu mwenye hana pesa ndefu. Nina Galaxy S1 naweza kumpa bure
Hahahahh. Nahisi alitaka kuandika 'Smartphone', keyboard iliteleza. Kama unayo mpe BURE tu bro, mtu mwenye hana pesa ndefu. Nina Galaxy S1 naweza kumpa bure
Simu aina ya android?? Mimi sio mtaalam lakini hakuna simu aina ya android. Hio ni operation system tu
Ningekuwa nayo ningemuuzia kwa bei hyo ANDROD ni toleo jipya nimetafuta town nimezikosa!