Natafuta simu ya elfu 70

E.A.MWAKYUSA

Member
Joined
Nov 7, 2014
Posts
65
Reaction score
4
Jamani wadau natafuta simu ya smartphone kwa bei ya elfu 70 kwa yeyote mwenye nayo anicheki kwa namba 0784791233. Nipo dar
 
Jamani wadau natafuta simu ya smartphone kwa bei ya elfu 70 kwa yeyote mwenye nayo anicheki kwa namba 0784791233. Nipo dar

Hizo Zinapatikana Sana Stendi Za Mabasi Hizi Zifuatazo :

1. Manzese.
2. Mwenge Sheli Ya PUMA.
3. Mtoni Mtongani.
4. Buguruni Sheli Ya Rozana.
5. Mabibo.

Ukizikosa Ktk Hivyo Vituo Tajwa Hapo Juu Basi Wewe Huna Haja Ya Kumiliki Simu. Kazi Kwako!
 
mkuu nina Nokia 3310 na Siemens twanga pepeta ni PM tufanye biashara.
 
Mkuu fafanua unataka nzima au mbovu
 
mkuu nina Nokia 3310 na Siemens twanga pepeta ni PM tufanye biashara.

Mkuu umenikumbusha Nokia Jeneza, hiyo mashine ilinipatia demu mmoja mkali sana.
Alitokea kuipenda sana simu yangu, ikawa mwanzo wa kufahamiana mpaka nikamkula.
 
Jamani wadau natafuta simu ya smartphone kwa bei ya elfu 70 kwa yeyote mwenye nayo anicheki kwa namba 0784791233. Nipo dar

Mimi ninayo lakini ngoja niitumie kwanza, ikifa betri au screen touch nitakutafuta tufanye biashara.
 
Hizo Zinapatikana Sana Stendi Za Mabasi Hizi Zifuatazo :

1. Manzese.
2. Mwenge Sheli Ya PUMA.
3. Mtoni Mtongani.
4. Buguruni Sheli Ya Rozana.
5. Mabibo.

-Ukizikosa Ktk Hivyo Vituo Tajwa Hapo Juu Basi Wewe Huna Haja Ya Kumiliki Simu. Kazi Kwako!
acha ushenzi wewe.........wattu wapo serious afu we unaleta upumbavu wako
 
Nenda vodashop wanasimu zile za vodafone smartphone za elfu 70 na 80.
Pia kama unaamini mitumba nenda kwenye maduka ya mitumba kariakoo ila wakupe warranty atleast 1 month.
 
Nenda vodashop wanasimu zile za vodafone smartphone za elfu 70 na 80.
Pia kama unaamini mitumba nenda kwenye maduka ya mitumba kariakoo ila wakupe warranty atleast 1 month.

Nazitafuta sana izo za mitumba
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…