ngosha2011 JF-Expert Member Joined Aug 20, 2011 Posts 681 Reaction score 87 Jul 6, 2012 #1 Wadau bajeti yangu ts200,000=natafuta simu ya kisasa hata used,iwe inakaa na chaji,haina usumbufu kwenye mambo ya internet na music,nikipata window mobile itakuwa safi sabAbu nimetumia siku nyingi sana
Wadau bajeti yangu ts200,000=natafuta simu ya kisasa hata used,iwe inakaa na chaji,haina usumbufu kwenye mambo ya internet na music,nikipata window mobile itakuwa safi sabAbu nimetumia siku nyingi sana
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,550 Jul 6, 2012 #2 ni vema ume specify,coz uzuri ni subjective!
I ifams Member Joined Jun 22, 2012 Posts 36 Reaction score 0 Jul 6, 2012 #3 mie ninayo nokia asha200 kama unahitaji nipigie0778-005506
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,505 Reaction score 6,903 Jul 6, 2012 #4 Vipi mkuu hiyo c6-01 iko poa haikufai?
chaUkucha JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 3,382 Reaction score 1,221 Jul 7, 2012 #5 Nakuuzia Nokia 7230 haina matatizo katika internet na inakaa sana na charge
D dgratius JF-Expert Member Joined Mar 10, 2012 Posts 218 Reaction score 11 Jul 7, 2012 #6 nokia c5 kwa 180,000
omben JF-Expert Member Joined May 30, 2012 Posts 822 Reaction score 480 Jul 7, 2012 #7 Mm ninazo Htc 4g na nokia N8 ila bei ni zaidi ya baget yako.
Mhindih JF-Expert Member Joined Mar 14, 2011 Posts 331 Reaction score 68 Jul 7, 2012 #8 Wekeni picha na bei mnaweza kutushawishi na wengine.
ALLY RIYAMI Senior Member Joined May 26, 2012 Posts 115 Reaction score 15 Jul 7, 2012 #9 kuna e63 utaitaji?0652740304
Ndumbayeye JF-Expert Member Joined Jan 31, 2009 Posts 7,420 Reaction score 4,033 Jul 7, 2012 #10 omben said: Mm ninazo Htc 4g na nokia N8 ila bei ni zaidi ya baget yako. Click to expand... sh ngapi?
omben said: Mm ninazo Htc 4g na nokia N8 ila bei ni zaidi ya baget yako. Click to expand... sh ngapi?
vanmedy JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 2,704 Reaction score 1,410 Jul 7, 2012 #12 Nokia c7 kwa 320,000