Mkuu edit kwanza hiyo Caption ili twende sawaWakuu salam, ninatafuta shule kwa ajili ya ndugu yangu form five kwa mchepuo wa CBG shule iwe mikoa ya Iringa, Mbeya, Ruvuma au Njombe iwe ni private yenye kufaulisha vizuri, iwe ni boys tu, kwa yeyote anayeijua anitajie na ada take, natanguliza shukrani kwenu nyote Asante.
acha bangi dikteta uchwara wwMkuu edit kwanza hiyo Caption ili twende sawa
Nenda Shule Wewe Kwanza ili ukajifundishe KiswahiliWakuu salam, ninatafuta shule kwa ajili ya ndugu yangu form five kwa mchepuo wa CBG shule iwe mikoa ya Iringa, Mbeya, Ruvuma au Njombe iwe ni private yenye kufaulisha vizuri, iwe ni boys tu, kwa yeyote anayeijua anitajie na ada take, natanguliza shukrani kwenu nyote Asante.
mkuu hivi umeelewa kweli ulichoandika hapo?acha bangi dikteta uchwara ww
wewe kmkuu hivi umeelewa kweli ulichoandika hapo?
kosa lake ni lipi hadi umwambie aache bangi...?..nadhani wewe ndo mvuta bangi haswaa
Naona umejiandaa kwa matusi....wewe k
Nimekusamehe bure, Laiti ungejua umuhimu wa Heading kuwa sahihi usingelopoka hayo maneno..... wengi watatapita tuu hata kama wanaweza kumsaidia...."Heading is an invitation to read"acha bangi dikteta uchwara ww
[emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji2] [emoji3] [emoji1] [emoji1]NATADUTA ndo nini..?
Typing error ikiwa kwenye heading ni mods tu ndiyo wanaweza kuirekebisha.Asanteni kwa michango yenu lakini kwa nini mnaleta lugha za kashifa bila kujua sababu zinazopelekea mtu kukosea katika uandishi? Ni typing error tu hapo, poleni hamjui mtendalo, na hata huyo anayesema niende kwanza shule kwani unanijua au,pole.