Natafuta shule ya sec kidato cha tano

Natafuta shule ya sec kidato cha tano

mbesri

Member
Joined
May 16, 2017
Posts
21
Reaction score
10
Natumaini mmeamka salama, kulingana kichwa cha habari hapo juu Naomba kwa yeyote anayejua shule nzuru ada yake iwe milioni moja kuja chini anijulishe, pia kama ana mawasiliano ya shule anipe. Nawatakia asubuhi njema.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom