LEVEL Senior Member Joined Jul 4, 2013 Posts 195 Reaction score 51 Feb 27, 2014 #1 Nimehitimu mafunzo ya ualimu nursery, natafuta shule ya kufundisha, kama kuna mtu anajua. Msaada please
Nimehitimu mafunzo ya ualimu nursery, natafuta shule ya kufundisha, kama kuna mtu anajua. Msaada please
J Jimmy Kadebedebe JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 468 Reaction score 191 Feb 27, 2014 #2 LEVEL said: nimehitimu mafunzo ya ualimu nursery natafuta shule ya kufundisha kama kuna mtu anajua msaada plz Click to expand... Kama upo dsm wacheki jamaa wa Teachers Junction no yao ni 0753810857.Kazi njema.
LEVEL said: nimehitimu mafunzo ya ualimu nursery natafuta shule ya kufundisha kama kuna mtu anajua msaada plz Click to expand... Kama upo dsm wacheki jamaa wa Teachers Junction no yao ni 0753810857.Kazi njema.
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,348 Reaction score 16,814 Feb 27, 2014 #3 Jimmy Kadebedebe said: Kama upo dsm wacheki jamaa wa Teachers Junction no yao ni 0753810857.Kazi njema. Click to expand... du kazi njema!yaani akiwacheki tu hao anapata kazi!!
Jimmy Kadebedebe said: Kama upo dsm wacheki jamaa wa Teachers Junction no yao ni 0753810857.Kazi njema. Click to expand... du kazi njema!yaani akiwacheki tu hao anapata kazi!!
Nyati JF-Expert Member Joined Mar 6, 2009 Posts 2,528 Reaction score 1,921 Feb 27, 2014 #4 LEVEL said: nimehitimu mafunzo ya ualimu nursery natafuta shule ya kufundisha kama kuna mtu anajua msaada plz Click to expand... Upo mkoa gani na unakaa maeneo gani hasa.
LEVEL said: nimehitimu mafunzo ya ualimu nursery natafuta shule ya kufundisha kama kuna mtu anajua msaada plz Click to expand... Upo mkoa gani na unakaa maeneo gani hasa.
heartbeats JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 8,046 Reaction score 13,392 Feb 27, 2014 #5 njo ufundishe huku Jf
G GEKU MG Member Joined Feb 5, 2014 Posts 24 Reaction score 1 Feb 27, 2014 #6 Pole sana ila kama unaweza kuvumilia mapanga njoo tarime sehemu moja inaitwa magoto kuna shule. Ila usiogope hawakati
Pole sana ila kama unaweza kuvumilia mapanga njoo tarime sehemu moja inaitwa magoto kuna shule. Ila usiogope hawakati