0744990530 nichekiWadau kwa anaefahamu sehemu lilipo shamba linalofaa kulima nyanya lenye ukubwa wa ekari moja hadi tano daressalaam au Morogoro tuwasiliane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lisiwe kichanga sana.
Liwe na udongo wenye rutuba, usio tuamisha maji na liwe kwenye chanzo cha maji ya uhahakika.
Liwe na udongo wenye rutuba, usio tuamisha maji na liwe kwenye chanzo cha maji ya uhahakika.
Asante mkuuLiwe na udongo wenye rutuba, usio tuamisha maji na liwe kwenye chanzo cha maji ya uhahakika.
Ingia pm.Shamba lipo Turiani mkuu.
Ekari5 zipo free na tayari limeandaliwa kwajili ya umwagiliaji.
Maji mengi ya mto yapo pembezoni mwa shamba.
Karibu tujadili
Kwenye changamoto ndio pazuriKila la kheri mkuu, kilimo cha nyanya kina changamoto nyingi sana.
Kila la kheri mkuu, kilimo cha nyanya kina changamoto nyingi sana.
Unalima wapi mdau. Nakuja kwenye hicho kilimo.Nyanya ni timing tu mkuu, watu tunapiga hela kama kawa
Nyanya ni timing tu mkuu, watu tunapiga hela kama kawa
Kuna mtu analo Mlandizi,Wadau kwa anaefahamu sehemu lilipo shamba linalofaa kulima nyanya lenye ukubwa wa ekari moja hadi tano daressalaam au Morogoro tuwasiliane.
Sent using Jamii Forums mobile app