Habarii za usiku ndugu zangu wanaJF
Kama inavyoonesha hapo juu mimi ni kijana nahitaji shamba kwa Morogoro kufanya shughuli za kilimo kwa kukodisha iwe eneo lenye maji inakua inapendeza zaidi
Kwa alienalo au anaejua ni wapi liko tafaadhali anijulishe hapa
0627235360
Asanteni