Natafuta shamba maeneo ya Dar au Pwani

Natafuta shamba maeneo ya Dar au Pwani

Simon

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2014
Posts
7,152
Reaction score
38,352
Habari Jamii Forum. Nisizunguke sana.

Natafuta shamba la kununua au la kukodi lenye udongo wa tifutifu au kichanga lenye ukubwa wa zaidi ya (at least) hekari moja (1 acre). Shamba liwe maeneo ya Pwani au Dar.

Asanteni!
 
Kuna viwanja 20 eneo la Goba Kusauke Mtaa wa Kulangwa ni jumla ya ekari 40, si unaweza kukatakata? DSM ni mjini hakuna mashamba hata ukipata within no time yatapimwa. Karibu hiyo.
20190801_180837.jpeg
 
Tuwasiliane kuna eneo zuri oevu liko kilometer 1.5 toka morogoro rd maeneo ya kubaha
Habari Jamii Forum. Nisizunguke sana.

Natafuta shamba la kununua au la kukodi lenye udongo wa tifutifu au kichanga lenye ukubwa wa zaidi ya (at least) hekari moja (1 acre). Shamba liwe maeneo ya Pwani au Dar.

Asanteni!

Jr
 
Hello

Shamba linauzwa eka 6 kwa Tsh. 12M. Lipo kongowe kibaha kijiji kinaitwa vikuge. Kutoka lami ya kwenda mlan dizi ni km 4 na kuingia kijiji kisha kutoka kijijini hadi shambani ni km 2.

Shamba lilipo kuna shule ya boding imejengwa km mita 700 hv. Pia kuna.shamba la ufugaji la mtu mwingine sio mbali sana.Eneo halipo flat lote sehemu ingine ipo na slope. Nauza eneo lote au ukanunu kwa kipisi. Hiyo bei ni kwa ajili ya lote. Unaweza nunua na kunga shule, hospital, klimo au ufugaji. Nauza kwa kuwa limeingizwa ktk mipango miji hivyo naligawa na kuuza na mi nabakiwa na pangu hivyo nakukatia unaandaliwa hati. Ofisi ya ardhi wilaya ya kibaha walitoa ofa na kuweka mipaka shamba zima na kuandaa mchoro. Shamba halina mizengwe lipo poa. Wakati wa mauziano unaweza husisha mwanasheria ili kupata peace of mind. Nicheki 0758308193 km hata kwa sms nicheki.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom