Natafuta shamba la kununua Bagamoyo na Kiwangwa

Dseni

Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
40
Reaction score
52
Natafuta shamba la ekari 50–100 maeneo ya Bagamoyo, Kiwangwa, Msata, Chalinze na maeneo ya jirani, ndani ya km 150 kutoka Dar es Salaam.

Liwe na nyaraka halali zinazohakikika, ikiwezekana hati, na lisiwe na mgogoro.

Malipo baada ya uhakiki kamili.

Tuma: Location, ukubwa, bei na nyaraka zilizopo.
 
Kama upo serious weka contacts zako hapa
 
Natafuta shamba la ekari 50–100 maeneo ya Bagamoyo, Kiwangwa, Msata, Chalinze na maeneo ya jirani, ndani ya km 150 kutoka Dar es Salaam.

Liwe na nyaraka halali zinazohakikika, ikiwezekana hati, na lisiwe na mgogoro.

Malipo baada ya uhakiki kamili.

Tuma: Location, ukubwa, bei na nyaraka zilizopo.
 
Eneo lipo Makurunge km 10 toka bagamoyo mjini kuelekea kiwangwa, fanya subira upate kitu cha uhakika
 
Back
Top Bottom