Habari wajf, kwa ufupi npo dar kwa maeneo ya chanika cna uenyeji wa kupata shamba la kukodsha. Nataka nkalime kilimo cha nyanya mwezi wa pili kulingana na hali ngmu ya maisha nmetafuta kazi ya kuajiriwa tangu nmalize chuo bado sijafankiwa. Nasikia kilimo kinatoa zaid ya kuajiriwa nami sasa nmeamua nkajiajiri kwenye kilimo. Nahtaji nusu hecta. Naomba kuwasilisha hoja