Natafuta shamba Chanika

Natafuta shamba Chanika

ARV

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2011
Posts
5,527
Reaction score
7,923
Natafuta shamba ukubwa kama heka 1, maeneo ya Chanika au popote karibu na DSM. Muuzaji awe na documents muhimu zinazoonesha umiliki wake.
Lisiwe zaidi ya km 1 kutoka main road (barabara ya kutokea Airport)
 
Mhhh...
 
Hahahahha
Sasa mbona kama unaguna???
Au unalishangaa tangazo ulilo andika mwenyewe........

'Your dp speaks it all'
 
Natafuta shamba ukubwa kama heka 1, maeneo ya Chanika au popote karibu na DSM. Muuzaji awe na documents muhimu zinazoonesha umiliki wake.
Lisiwe zaidi ya km 1 kutoka main road (barabara ya kutokea Airport)
Lipo majoe mkuu.
 
Ndugu yangu analo lipo masantula. Nicheck pm namba ya simu nikuunganishe naye na uhakika hamtashindwana bei
 
Nenda EFC Bank pale viktoria. Wanalo huko chanika. Mteja kashindwa kulioa mkopa
 
Liko mmbande ukihitaji
Square meter 2400
Price 6m
 
Lipo kisarawe kijiji cha mwanzo Mgumu,mbele kidogo chanika
 
Ndugu yangu analo lipo masantula. Nicheck pm namba ya simu nikuunganishe naye na uhakika hamtashindwana bei
Mkuu masantula ni wapi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom