Tajirimsomi
JF-Expert Member
- Jan 12, 2017
- 4,824
- 5,610
Mimi sio mtotoWanawake mnasema hampati wanaume wa kuwaoa haya vitoto hivi hapa vioeni mvilee.
Ahsante mkuuPole Sana.
Umepata chanjo au? Maana sikuelewi ujue!Habari mi ni kijana wa kiume umri 26 kutokana na nadhiri niliyojiwekea kwamba sihitaji kutongoza mwanamke yeyote mpaka yule ntakayekua na uhakika kwamba nampenda niko tayari kwa lolote.
Uamuzi huu ulisababishwa na matukio makubwa mawili nilowafanyia maex zangu walonipenda na kuwasababisha maumivu makubwa nilijiapiza sihitaji kumuumiza mtu tena nimejipa nafasi moja ya maamuzi.
Nateseka sana na feelings za sex tokea mwaka jana mwezi wa sita niko single just imagine situation nayopitia japo nimejicommit ila nateseka naogopa kuumiza mtoto wa mtu again.
Nimekuja mbele yenu wadada wa jf kuomba kimpata sex partner tutakayefarijiana ikiwezekana twaweza kuwa wapenzi ila nia ni sex partner najua mpo wenye uhitaji kama wangu.
Samahani kama itakua ni kitu cha ajabu but nadhani inabidi nieleweke .
Nakuona hapo my sex partner karibu sana tuanze safari hiii.
Sifa zangu.
Mwanaume 26 age
Makazi dar es salaam
Mkristo
Rangi mbantu maji ya kunde
Kazi intern katika ofisi ya serikali
Sifa za mwanamke nayemtaka
Awe single
Asizidi miaka 35
Awe tanzania
Awe charming
Mambo ya uzuri au ubaya au rangi au urefu namwachia Mungu watu wote wazuri atakayeguswa let's be friends tupeane mawazo ya maisha.
Mods msifute uzi wangu tafadhali
Ahsante kwa ushauri kaka ila kuweka record sawa siogopi kupenda but sitaki kumuumiza mtu tena nilikoswa kuuliwa kisa mapenzi nilifungiwa ndani na mwanamke siku 3 without chakula wala huduma yeyote26yrs unaogopa kupenda mkuu,unasafari ndefu sana,hao ma sex patner utapata waliojichokea na life wanatafuta wa kuwaambukiza.
Utaniambia utakua makini,okay lakini kadri mnavyozidi kunyanduana unaanza kumzoea mwisho umakini unapotea
Na hapo ndipo utakapojiharibia maisha.
Maamuzi ni yako,ila count the cost vizuri.
Mara hii utanasa kabisa..🤣Ahsante kwa ushauri kaka ila kuweka record sawa siogopi kupenda but sitaki kumuumiza mtu tena nilikoswa kuuliwa kisa mapenzi nilifungiwa ndani na mwanamke siku 3 without chakula wala huduma yeyote
Hahah mungu aepushie mbaliMara hii utanasa kabisa..[emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1. Hutaki kutongoza
2. Unatsewa na migundi...
3. Unatafuta se.x partner...
Conclusion: Unapenda mserereko... acha ujinga...
[emoji1]Hujapat ndugu Kun bek tatu hapa home ex wangu lakini
Ukipata mabasha wakakunyemelea usianze kurusha ngumi kwa vile inaonekana unataka partner bila kutofautisha mwanangu.Habari mi ni kijana wa kiume umri 26 kutokana na nadhiri niliyojiwekea kwamba sihitaji kutongoza mwanamke yeyote mpaka yule ntakayekua na uhakika kwamba nampenda niko tayari kwa lolote.
Uamuzi huu ulisababishwa na matukio makubwa mawili nilowafanyia maex zangu walonipenda na kuwasababisha maumivu makubwa nilijiapiza sihitaji kumuumiza mtu tena nimejipa nafasi moja ya maamuzi.
Nateseka sana na feelings za sex tokea mwaka jana mwezi wa sita niko single just imagine situation nayopitia japo nimejicommit ila nateseka naogopa kuumiza mtoto wa mtu again.
Nimekuja mbele yenu wadada wa jf kuomba kimpata sex partner tutakayefarijiana ikiwezekana twaweza kuwa wapenzi ila nia ni sex partner najua mpo wenye uhitaji kama wangu.
Samahani kama itakua ni kitu cha ajabu but nadhani inabidi nieleweke .
Nakuona hapo my sex partner karibu sana tuanze safari hiii.
Sifa zangu.
Mwanaume 26 age
Makazi dar es salaam
Mkristo
Rangi mbantu maji ya kunde
Kazi intern katika ofisi ya serikali
Sifa za mwanamke nayemtaka
Awe single
Asizidi miaka 35
Awe tanzania
Awe charming
Mambo ya uzuri au ubaya au rangi au urefu namwachia Mungu watu wote wazuri atakayeguswa let's be friends tupeane mawazo ya maisha.Ukipa
Truee 💯concetrate na kutafuta hela na connectio mkuu.. habari za sex partner achna nazo ..pesa yako ndio sex partner wako.. kama umenielewa ishi salama.. ( kinondoni,masaki,manzese,ubungo,survey) sex partners kibao