Watu mnakomaliaga Dsm kufanya nini nakupa ushuhuda wangu mwenyeww
Nilipomaliza chuo wengi walipata mahali kampuni mbalimbali nafasi za intern(wengi kati tuliomaliza nao) mm sikubahatika japo tulikua tunaomba wote
Nakumbuka siku moja nikasema ngoja nijaribu mikoani breki ya kwanza nikatua Dodoma sina ndugu wala jamaa na ni mara yangu ya kwanza kufika nikapeleka barua na vyeti ndani ya siku 2 nikajibiwa nianze kazi
Nilikaa miezi miwili bila kulipwa hata senti nilikua nimejibanza kwa jamaa yangu tulisoma nae Advance akasomea udom akaanzisha geto hapo
Sitasahau siku napewa pesa kwa mara ya 1 nilipewa 1.0M, mwezi uliofata nikapewa 800, ikawa trend ya 800 ( naeleza kitu cha kweli)
Nikawa nimewapita hata wale waliopata huku makao makuu dsm wanapewa 400
Ishu ni kuvumilia hata mikoani tuangalie jamani tusiangalie Dsm tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.