Ctrlp
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 333
- 276
Habari viongozi ✋
Natafuta nafasi(space) ndogo kwa ajili ya kujenga frem au kuweka banda kwa ajili ya biashara..
Sehemu yeyote kwa Dodoma mjini (sio katikati ya mji) ila sehemu yeyote yenye Mzunguuko wa watu sehemu ya kujenga fremu mbili tu.
Maeneo kama Sabasaba, Majengo, Chamwino, Nala, Changombe, Kikuyu, au popote pale mradi pawepo na pilika pilika za watu..
Mawasiliano
N:b kukodi au kununua
0715716501