kisale wakisale
Senior Member
- Dec 18, 2016
- 158
- 204
Nina diploma ya procurement and logistics management natafuta sehem ofisi ya kujitolea ili kupata uzoefu,nipo dar es salaam naomba mnisaidie waungwana.
Nimekosea kutype ila umenielewa kuvolonteer mkuuKuvonteer?
Kuvolonteer?Nimekosea kutype ila umenielewa kuvolonteer mkuu
Natafuta sehemu ya kujitolea... Hope nishasomekaUngeandika hivi
NATAFUTA SEHEMU YA KUJITOLEA
OVA
Nimekosea kutype ila umenielewa kuvolonteer mkuu
Kuvonteer?
Kuvolonteer?
Cool bro!Saint Ivuga, please be nice
Vijana wanachombeza vijiingereza ili wapate kazi kwa urahisiUngeandika hivi
NATAFUTA SEHEMU YA KUJITOLEA
OVA
Sawa bossBadilisha bandiko lako Lina ukakasi urudi tena
Sawa bossHupati kazi wewe
Sawa elimu boraNa tena umekosea kweli shule za kata majanga!
Cool bro!
Our lill bro must be smart if he want to secure any job easily.