dume30 JF-Expert Member Joined Nov 15, 2013 Posts 567 Reaction score 577 Apr 2, 2016 #1 Wakuu naombeni msaada wa kuweza kupata touch ya simu tajwa hapo juu,nimezunguka kariakoo nimekosa. Je kuna touch ya simu ya aina nyengine inayoweza kuingiliana nayo? maana nashindwa kutumia simu yangu
Wakuu naombeni msaada wa kuweza kupata touch ya simu tajwa hapo juu,nimezunguka kariakoo nimekosa. Je kuna touch ya simu ya aina nyengine inayoweza kuingiliana nayo? maana nashindwa kutumia simu yangu