Ms s Megji wako mtaa wa mkwepu baada ya bank ya posta metropolitan iliyopo round about alikosimama askari. Mara baada ya mlango wa kuingilia bank, duka linalofata la vitabu na linalofata Ms Megji.
Hilo duka vitu vyao ni rahisi sana ukilinganisha na maduka mengine mkuu huwezi kuamini ni duka ambalo liko posta ambapo tumezoea kununua vitu ghali.