Natafuta Screen ya nchi 32

wepson

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
831
Reaction score
219
Habarini wadau natafuta screen inchi 32 Sing sang au sony au samsung nina 550000/= mwenye nayo iwe kwenye hali nzuri ani PM
 
nenda dukani ila fikisha Tshs 600K ndo uhakika zaidi Samsung au Sony achana na michina akina sing sung
 
Ongeza elfu ishirini tu nikuuzie led samsung ndani ya box


Sent from my iPhone 4S using JamiiForums
 
Nitafute tuongee nna singsang inchi 40 ila uongeze kidogo mpunga.....0713 80 67 66.
 
Sony bravia pya ndan ya box led 32 ni pm fasta nkupe tv ila unaongeza kidgo
 
Habarini wadau natafuta screen inchi 32 Sing sang au sony au samsung nina 550000/= mwenye nayo iwe kwenye hali nzuri ani PM

Achana na mambo yakuongeza kidogo, kuna duka posta mpya kama upo dar, linaitwa Ms Megji, wanauza TLC 32" tsh 560000/= unapewa na deck ya samsung Bureee
 
Yea, wanatoa offer sana za mara kwa mara kwa vitu mbalimbali, na wana customer care nzuri sana, wanakubali malipo ya awamu. Pia hata ukiwa mkoa ukiwapigia simu, mnaongea wana arrange kukutumi Mzigo.

Hiv juz walikuwa wanauza DVD Deck za Samsung kwa Tsh 50000/= tu
 
Habarini wadau natafuta screen inchi 32 Sing sang au sony au samsung nina 550000/= mwenye nayo iwe kwenye hali nzuri ani PM

Nina samsung inchi 26 LED iko ktk hali nzuri kwa 450000
 
Achana na mambo yakuongeza kidogo, kuna duka posta mpya kama upo dar, linaitwa Ms Megji, wanauza TLC 32" tsh 560000/= unapewa na deck ya samsung Bureee

mkuu tunaweza pata direction yake hilo duka
 

Wako posta mpya mtaa gani?
 

Kwani bei ya deck kawaida huwa sh ngapi?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…