Natafuta, screen replacement ya ULEFONE Note 11p ( Ulefone Note 11P - Full phone specifications) , hii ni baada ya kioo kilicopo kuacha kufanya kazi baada ya simu kuanguka. Naomba msaada kama kuna mtu mwye hiki kioo au anafahamu kwa uhakika mahali ambapo naweza kupata kwa Dar es Salaam.