Usikatishwe tamaa... Kama wataka Santuri au nyimbo CD Tape etc... za huyo Jackie nenda TBC 1 muulizie Masoud Masoud atakupatia najua atakua nazo au Bilicanas...mtafute Freeman Mbowe nadhani pia atakuwa nazo... ukikosa nenda Clouds muulizie Jerry Minja ....