Natafuta samsung TV LED inch 32

Natafuta samsung TV LED inch 32

ukiandaa 650, 000 unapata kkoo nzur na mpya kabisa!!
 
Mkuu bonaface mpya dukan??
 
Last edited by a moderator:
Chezea mchina wee. Izo mbona zitashuka tu. Nakumbuka Bro aliinunua ikiwa ni 4.5 M na ilikuwa 40inchi.
Sasa leo hii only kilo 6.5 unapata ebu ngoja namie nizichange
 
Back
Top Bottom