Habari za Asubuhi wakuu..!!
Nahitaji simu used aina ya samsung galaxy s3. #mimi nitakupa tsh Laki mbili (200,000) pamoja na Simu ya BlackBerry Bold 9780 (white),ipo in good condition..haina matatizo yoyote and no scratchez.
##»Kama kuna ambaye amekubaliana na wazo langu naomba tuwasiliane PM,thnx in advance