Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,183
- 3,547
SijaelewaaaMpe kama zawadi huyo anayemkubali sana..simple!
So umesema unamvumilia sana? Sasa hayo unayoyavumilia maana yake ni mabaya yake. Je hayawezi kuwa sababu?Baada ya kumvumilia sana mpenzi wangu imefika hatua yamenishinda hivyo natafuta sababu ya mimi na yeye kuachana ambayo nikimuelezea mtu wa karibu atanielewaa
Umeona eehInaonekana wewe ndo mwenye tatizo. Ndo maana unatafuta sababu.
Ingekuwa mwanamke ndo mwenye shida usingetafuta sababu.
Subir samareeSijaelewaaa