Natafuta room mate IFM new student 2015/2016

xpin de rexas

Member
Joined
Feb 3, 2013
Posts
26
Reaction score
2
Mimi nmechaguliwa IFM computer science natafuta room mate ambaye nae hataki kukaa hostel tupange pamoja at kigamboni au mahali karbu na chuo.my budget is 100000 so tutachangia 50000 @.kama uko teyari chek me.only men caz am man.chek me whats app 0713922431.sipendi kukaa hostel tht y.
 
Duh mkuu kwani chuo chenu kunafungua mwezi huu wa kumi mbona nacte walitangaza vyuo vyote vifungue 9 november au walibadili ratiba
 
Yah tarehe 9 bt nataka nipange mapema ili nsipate shida ya kutafuta room,maandalizi muhimu
 
Mimi nmechaguliwa IFM computer science natafuta room mate ambaye nae hataki kukaa hostel tupange pamoja at kigamboni au mahali karbu na chuo.my budget is 100000 so tutachangia 50000 @.kama uko teyari chek me.only men caz am man.chek me whats app 0713922431.sipendi kukaa hostel tht y.

tutakuwa pamoja mkuu...me nmechaguliwa Bsc Information technology
 
Mimi nmechaguliwa IFM computer science natafuta room mate ambaye nae hataki kukaa hostel tupange pamoja at kigamboni au mahali karbu na chuo.my budget is 100000 so tutachangia 50000 @.kama uko teyari chek me.only men caz am man.chek me whats app 0713922431.sipendi kukaa hostel tht y.

Umeshajua rum ni bei gn
 
Karibuni IFM wakuu,pia ishu ya rum karibuni kigamboni kimbilio la wanaIFM wasio wa kishua...
 
Sisi mwaka wa Kwanza c lazima tukae hostel mkuu

Sio lazima ukae hostel man...kama wewe ushazoea uswahilini kigamboni ingekufaa sana mkuu...ni cheap kukaa interms of cost na ukaribu. Ukitaka rum kule kuwa mwangalifu walanguaji ni wengi sana pande zile...
 
Hku mtaani kinajulikana kma chuo kigumu kuliko vyote tz sasa cjui mtaa upi huo
 
haya mkuu karibu sana IFM ila niwe mkweli na muwazi chuo hiki ni kigumu mnooo mzee kama unataka kufikisha malengo yako ukija ufanye kilichokuleta pale pia swala la hostel ni kweli mwaka wa kwanza huwa wanapewa priority kubwa na pia sio wote wanapata kupanga kigamboni ni uamuzi sahii pia...all da best..
 
Asante sana mkuu kwa ushauri wako..nitaufanyia kazi
 
Vijana niwapongeze tu kwa kuchaguliwa kujiunga IFM, mtakutana na stori za "Abscond nd disco" sana! Kiukweli kama ucpofanya Kilichokuleta sem ya kwanza tu unakula vichwa vyako vi4 then tunakupa mkono wa kwaheri....nisalimie Abdulfattah na Igakinga
 
bila kumasahau kibacha mkuu
 
Back
Top Bottom