Natafuta rim paper kwa bei ya jumla

Natafuta rim paper kwa bei ya jumla

Swoldiha

Member
Joined
Sep 7, 2018
Posts
53
Reaction score
20
Naombeni kufahamishwa wapi naweza pata rim paper kwa bei ya jumla? Kuna mahali zinahitakika box kadhaa.
 
Box 1 lenye rim 5 ndani unauzaje, namaanisha kwa bei ya jumla. Tuanzie hapo kwanza. Maana nafanya survey ya bei pia ndugu. Zahitajika box 25, ila nifahamishe bei nimjulishe hyo anayehitaji.
 
Nahitaji photo paper size 4x6 na 5x7 kwa bei ya jumla naweza kupata wapi hapa dar es salaam na kila mmoja ni shilinhi ngapi
 
Back
Top Bottom