Natafuta Rear Spoiler ya Altezza

Natafuta Rear Spoiler ya Altezza

malimingiii

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
968
Reaction score
1,343
Habari wakuu, natafuta rear spoiler ya Toyota Altezza ile iliyonyanyuka kama inavyoonekana kwenye attached photo. Mwenye nayo tuwasiliane PM tafadhali
1476968763024.jpg
 
Sasa Altezza unahangaika nayo hivyo!! Ukipata Subaru au Evo si utaiwekea paa??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom