Natafuta rafiki

ng'wadila

Member
Joined
Oct 15, 2014
Posts
38
Reaction score
7
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea,mimi ni ke. Natafuta rafki wa kiume,awe na umri wa miaka 33-38,mkristu na mwenye hofu ya Mungu.Aliye tayari karibu.
 
Tuseme unatafuta baba mchungaji au sio?
 
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea,mimi ni ke. Natafuta rafki wa kiume,awe na umri wa miaka 33-38,mkristu na mwenye hofu ya Mungu.Aliye tayari karibu.

Vigezo nimetimiza waweza ni pm.
 
Mimi nina hofu ya shetani maana ndo adui yangu wa kwanza. Mungu sina hofu nae maana ni rafiki yangu. Ngoja waje watwnda maovu wenzio...
 
Nafikiri siyo lazima utimize vegezo vyote, nimekosa kigezo kimoja tu so naomba unifikirie kama nafaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…