Khantwe acha uchokozi..... ninakutafutia rafiki mzuri huyu hapa we si upo above 35 vigezo na masharti kuzingatiwaMiss Chagga utachezea Za chembe Shauri yako
Cc:Khantwe mwambie mi staki uchokozi lol
jamani jamani niko kwenye upweke usiopimika. natafuta rafiki jinsia ya kiume mwenye uelewa wa maisha na mstaarabu asiwe na majigambo. nahitaji mtu wa kubadiishana naye mawazo ya kimaisha, taaluma, mahusiano etc. awe above 30 na asiwe mwanafunzi wa chuo. lengo langu hasa ni kushare life experiences ndo maana nahitaji mtu anayejitambua.
MUHIMU; mambo ya kutongozana sitaki kabisa. nahitaji rafiki sio mpenzi.
huyo anatafuta mchumba mie natafuta rafiki, mbio zetu ni tofauti
alafu frankclemence ni mkali sana
kwa umri huo unaohitaji wote kama si wengi watakuwa ni waume za watu ,je wewe umeolewa ?mume wako analijua hili la kutafuta marafiki?by the way all the best kwani binafsi siamini kama mke wangu atanielewa kuwa eti rafiki wa kubadilisha mawazo duuu ,
mkuzi unataka mpaka utafuniwe kwani kibogoyo wewekwa umri huo unaohitaji wote kama si wengi watakuwa ni waume za watu ,je wewe umeolewa ?mume wako analijua hili la kutafuta marafiki?by the way all the best kwani binafsi siamini kama mke wangu atanielewa kuwa eti rafiki wa kubadilisha mawazo duuu ,
kwa umri huo unaohitaji wote kama si wengi watakuwa ni waume za watu ,je wewe umeolewa ?mume wako analijua hili la kutafuta marafiki?by the way all the best kwani binafsi siamini kama mke wangu atanielewa kuwa eti rafiki wa kubadilisha mawazo duuu ,
alafu frankclemence ni mkali sana
Mmmh that's so sweet of you Miss Chagga ivi umeolewa Mamie
Utawajua kwa matendo Yao siyo maneno Yao-mi siyo mkorofi wananichokoza honey