Habari zenu, mimi ni msichana wa kitanzania, nina umri wa miaka 30, dini mkristo (roman Catholic) natafuta rafiki wa kiume wa kuniliwaza, nimeumizwa sana na mpenzi niliyekua naye, najihisi mpweke ila sitaki kurudiana naye.
Hata bibi alikuwa binti.
Yupo sahihi.
binti ni neno la kiarabu linalomaanisha mtoto wa "kike "au jinsia ya kike.
Mtoto wa kiume ni "BIN"
matumizi ya binti au bin hayana umri.
Mfano 1. juma bin salehe
2.sheila binti jumaa