Unapoteza muda. Hizo sifa ulizotaja ni za wanaume watano tofauti.Asiwe Mlevi
Awe na hofu ya Mungu,mwenye Kazi ya kumwingizia kipato,mwaminifu na mwenye Mahaba kama yote
Ni PM kama tu Upo serious please
Ulevi unaupima kwa kiwango gani?Maana mimi napiga CMS tisa tu.Mi ni mwanamke mrembo mwenye Utu sana,Msikivu,Mwenye Upendo,Mwanamke ambae nathamini sana Familia ,mwanamke ninaependa Maendeleo ,Mama wa mtoto mmoja
Miaka 34
Mfanyabiashara
Mkristo
Nina jitegemea kwa kila kitu naishi Dar na mwanangu na dada wa kazi
Nipo Tayari Sasa kwa kuanzisha Urafiki na baadae kua wapenzi had Ndoa Na mtu Sahihi kwangu na mimi niwe Sahihi kwake
Umri kuanzia 35-48 Akiwa na mtoto Au watoto haina shida kabisa nitalea/kuwalea kwa upendo mkubwa sana
Asiwe Mlevi
Awe na hofu ya Mungu,mwenye Kazi ya kumwingizia kipato,mwaminifu na mwenye Mahaba kama yote
Ni PM kama tu Upo serious please
Maisha ya kimaskini ndiyo yanakuelekeza hivyo.Bado mbichi huyo kama stafeli.Jua limezama
Sasa mtu hai anakosaje tako?Au unataka tako kubwa kama mawe ya Mwanza?una t@ko?
t@ko kubwaSasa mtu hai anakosaje tako?Au unaraka tako kubwa kama mawe ya Mwanza?
Umri sema kuanzia 35 na kuendeleaMi ni mwanamke mrembo mwenye Utu sana,Msikivu,Mwenye Upendo,Mwanamke ambae nathamini sana Familia ,mwanamke ninaependa Maendeleo ,Mama wa mtoto mmoja
Miaka 34
Mfanyabiashara
Mkristo
Nina jitegemea kwa kila kitu naishi Dar na mwanangu na dada wa kazi
Nipo Tayari Sasa kwa kuanzisha Urafiki na baadae kua wapenzi had Ndoa Na mtu Sahihi kwangu na mimi niwe Sahihi kwake
Umri kuanzia 35-48 Akiwa na mtoto Au watoto haina shida kabisa nitalea/kuwalea kwa upendo mkubwa sana
Asiwe Mlevi
Awe na hofu ya Mungu,mwenye Kazi ya kumwingizia kipato,mwaminifu na mwenye Mahaba kama yote
Ni PM kama tu Upo serious please
Hivi huwa mnayafanyaje sasa hayo matako makubwa?Maana mimi labda kuyashika na kusifia tu kwamba anakula ugali vizuri.I'm cautious?t@ko kubwa
Kwani wewe hutaki?Wazee tumefikiwa, tena kwa kishindo. Sasa nisikie mzee mwenzangu analalamika kukosa jiko.
Si upo tayari, nataka nini tena mama!!Kwani wewe hutaki?