Mimi ni mwanaume, umri wangu ni miaka 27, elimu yangu ni degree ya awali! natafuta rafiki wa kike popote pale, awe na elimu kuanzia kidato cha sita, awe mrefu! mimi ni mrefu 182cm high. mambo mengine tutazidi kufahamishana kadiri siku zinavyoendelea
Ukishaona mtu anatafuta marafiki kupitia mtandao ni wazi kuwa socialization yake ni kimeo. Watu wote na marafiki wote waliojaa huko mitaani imeshindikana mpaka kuja kutafuta hapa?
Au ndo maisha ya dot com? Kila kitu mtandao?
Kizazi hiki cha sasa majanga sana