Natafuta rafiki wa kike ambaye nitampenda na kumjali, kubadilishana mawazo, company na kusaidiana katika mambo ya maisha.
Sifa;
- Awe na Umri usiopita miaka 26
- Awe na umbo zuri na sura ya kuvutia na uzuri wa asili
- Awe na tabia njema na asiwe na tamaa mbaya
- Awe ana ndoto za maendeleo na mitazamo chanya katika maisha na anayejiamini
- Awe na Elimu ya kuanzia ngazi Kidato cha nne na kuendelea
- Awe tayari kupendwa na kupendeka, kudekezwa na kudeka
Sifa zangu:
- Umri wangu miaka kati ya 28-33
- Elimu yangu: kuanzia kidato ca nne na kuendelea
- Kazi: Nimejiajiri
- Sina mke
Ambaye yuko seriously tuwasiliane kwa PM kwa mawasiliano zaidi
PM Zote zitajibiwa haraka sana kwa walio seriously.