Jean Vertongen
Member
- Jan 21, 2017
- 10
- 2
Pamoja HusseinUkimpata utuambie mkuu
KaribuKuna mwenye hizo sifa ila hana kazi. Anaweza jaribu bahati yake?
Ee atuambie kama amepataUkimpata utuambie mkuu
Bebe mwambie anipunguzie umri kidogoKuna mwenye hizo sifa ila hana kazi. Anaweza jaribu bahati yake?
So katika sifa zote umri tu ndo kikwazo?Bebe mwambie anipunguzie umri kidogo
Kuna vikwazo vingine hapoSo katika sifa zote umri tu ndo kikwazo?
Mkuu cjajua unachomaanisha.We sema unatafuta demu
Kuhusu ajira usihofuKuna vikwazo vingine hapo
Ajira hapo
Mwembamba kiasi
Tatizo vigezo.unavyotaka.Mkuu cjajua unachomaanisha.
Ila kama ni mademu, mtaani wapo kutosha.
Na kusingekuwa na haja ya kupost. But wasn't my end.
Bebe lavu wewe umefall kwenye hiyo kategori kabisa usimchunie jamaa bhana jitose[emoji87]Bebe mwambie anipunguzie umri kidogo
Bebe iyo 24 mie bado sanaaBebe lavu wewe umefall kwenye hiyo kategori kabisa usimchunie jamaa bhana jitose[emoji87]
Naelewa bhana kaanzia 18 si ndio eeehBebe iyo 24 mie bado sanaa
Angefanya 15Naelewa bhana kaanzia 18 si ndio eeeh