Natafuta rafiki wa kike kwa uhusiano wa siri

kijana inaonekana wewe ni mume wa mtu then unajifunza kuiba au kutoka njee. kwanini uwe na mapenzi ya siri?
 
kijana inaonekana wewe ni mume wa mtu then unajifunza kuiba au kutoka njee. kwanini uwe na mapenzi ya siri?

nadhani mapenzi ya siri ndio yenye amani kuliko. coz ukimwaga mchele kwenye kuku wengi madhara yake ni makubwa.
 
Kawatafute live mtaani,wapo wengi tu!
 
dah....unaona sasa machungu ya ndani ya ndoa yanavyoweza kuleta athari.....shughulikia matatizo yako mkuu....kutafuta mpango wa kando sio suluhu ya matatizo...na amani moyoni. ni kujiongezea matatizo.
Yeah, nimesema anayejiheshimu na uhusiano wa siri, ni kweli kama ulivyohisi. maana nyingine
natafuta amani ya moyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…