botafongo jr
Senior Member
- Aug 13, 2013
- 107
- 17
Natafuta ps3 au ps4 kwa mwenye nayo budget yangu ni TShs.300,000/=
Natafuta ps3 au ps4 kwa mwenye nayo budget yangu ni Tsh.300,000/=
Ps4 kwa lak 3 unategemea kupata ya halali kweli?
Au unatania watu ww?