Mimi nahitaji ps3, ukipata mtu mwenye nayo please nijulishe mkuuinahitajika ps2 ikiwa imekamilika.mwenye nayo anicheki pm namba zake then nitamtafta!!!
Mimi nahitaji ps3, ukipata mtu mwenye nayo please nijulishe mkuu
Inahitajika ps2 ikiwa imekamilika.mwenye nayo anicheki pm namba zake then nitamtafta
Ninayo ps2 complete ina pad kama vp ni pm nikupe namba tuongee biashara, ninazo kama 50 hv ww sema idadi unayotaka tu...
Mimi nahitaji moja.bei gani?