diana abela
Member
- Apr 9, 2014
- 33
- 10
Nahitaji pri
mkuu l800 bei yake ni kati ya 680k-750kNaenda Masumin Nikama 365000 hivi
zinapatkana kkoo...maduka ya computers ukianzia makutano ya msimbazi na njia inayoenda mnazi 1 kuna maduka ya wahindi zipo nilinunua moja miaka 2 zilizopita kwa 690kNahitaji printer ya kununua Epson L800 mpya au mtumba ambayo iko katika hali nzuri. Niko Dar es Salaam
Kama kuna anayejua zinapopatika naomba msaada
NB: Nahitaji Epson L800 wala siyo L805
Email yangu: abelapangani@gmail.com
Ahsante! Nitajaribu kwenda tena kuulizazinapatkana kkoo...maduka ya computers ukianzia makutano ya msimbazi na njia inayoenda mnazi 1 kuna maduka ya wahindi zipo nilinunua moja miaka 2 zilizopita kwa 690k
Njoo nikuuzie ipo full WITH CD PRINTING TRAY & ID CARD TRAY PIGA NAMBA 0715387545Nahitaji printer ya kununua Epson L800 mpya au mtumba ambayo iko katika hali nzuri. Niko Dar es Salaam
Kama kuna anayejua zinapopatika naomba msaada
NB: Nahitaji Epson L800 wala siyo L805
Email yangu: abelapangani@gmail.com