Natafuta Prado ya dizeli

Natafuta Prado ya dizeli

Aisee hebu uning'ate sikio kidogo kuhusu sifa za hizi prado za diesel kama una uzoefu nazo. Maana na mimi kuna sehemu naifukuzia gari ya aina hiyo na ni manual ingawa namba yake ya usajili inaanzia na A.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom