Natafuta pool table la kununua

tuwe wakweli

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
223
Reaction score
59
HABARI MJASILIAMALI.
Nipo Iringa.
Kama unauza au unajua sehemu ambayo wanauza POOL TABLE nzuri na imara naomba msaada wako wa kuniunganisha mawasiliano coz ninalihitaji sana kipindi hiki.

AHSANTE NAWASILISHA!
 
Wasiliana na wauzaji wenyewe kwa namba ifuatayo 0784855300 wanaitwa KENICE POLL TABLE. Kuna wengine wanaitwa TANICE lakini nimepoteza namba yao. Nikipata nitakupatia uangalie bei za wote zikoje. Nakutakia mafanikio mema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…