hart Member Joined Jan 22, 2013 Posts 22 Reaction score 5 Sep 14, 2015 #1 habari zenu wakuu natafuta mahali wanauza hizi poker chips ambazo ni kwajili ya michezo ya kujifurahisha tu na wala sio zile zenye thamani kabisa za casino. Anaefahamu tafadhali ani-pm au comment. Natanguliza shukrani
habari zenu wakuu natafuta mahali wanauza hizi poker chips ambazo ni kwajili ya michezo ya kujifurahisha tu na wala sio zile zenye thamani kabisa za casino. Anaefahamu tafadhali ani-pm au comment. Natanguliza shukrani