federicofernandez
JF-Expert Member
- Jun 19, 2016
- 578
- 392
_Isiwe na matatzo
_Iwe ndani ya dar
_Iwe na document zake zote
_Aina yoyote ile
Mwenye nayo ancheki kama nikiipenda nanunua
Ninayo mahindra..._Isiwe na matatzo
_Iwe ndani ya dar
_Iwe na document zake zote
_Aina yoyote ile
Mwenye nayo ancheki kama nikiipenda nanunua
Milioni 16. ASANTENina boxer cc150,imetembea kilomita 4100 tu ina ipo ifakara bado iko bomba nimeifungia ndani bei 16000000 haina maongezi ukishindwa pita pembeni
Oohh sorry mkuu 1.6 mil.Milioni 16. ASANTE
Pamoja mkuu, kama ni hivyo basi bei ipo reasonably, kulingana na muda iliyotumikaOohh sorry mkuu 1.6 mil.
Nmesema iwepo darNina boxer cc150,imetembea kilomita 4100 tu ina ipo ifakara bado iko bomba nimeifungia ndani bei 16000000 haina maongezi ukishindwa pita pembeni
Tafuta SANLG au sanmoto hapo tabata utaipata kwa bei hiyoNna 800k
Ni pm namba yako nikuuzie boxer yangu maana naona madereva wananizingua ila ubadilishe jina ukienda huko iwe na jina lako pikipiki ina mwaka na miezi 8Nna 800k
Milioni 16. ASANTE
Tabat ipi npe mawasiliano kama una namba zamtu alionayoTafuta SANLG au sanmoto hapo tabata utaipata kwa bei hiyo
Kubadlisha vp jinaNi pm namba yako nikuuzie boxer yangu maana naona madereva wananizingua ila ubadilishe jina ukienda huko iwe na jina lako pikipiki ina mwaka na miezi 8
Upo wapNinayo boxer iko vizur nipe m1