clarence mitega
Member
- Sep 23, 2014
- 13
- 3
Kama unauza
Check watsApp 0769769693
Check watsApp 0769769693
Bado mkuu!Bado hujapata muuzaji mkuu?
Vipo poa sana chiefVipo fresh hivo vi machine
Nilimletea cha million 1 n laki 7 akuchukua hiko chako atakiwezMilioni 4 kipo mkononi lakini ni Honda Vario sio Click (Kama hio nyeusi)
Hicho naomba unitumie picha nikione tafadhaliNilimletea cha million 1 n laki 7 akuchukua hiko chako atakiwez
Au una maana zile za kuchaji?Kkoo ukienda utapata kwa 1.8m , bei inapungua lakini
Ni pm picha mkuuNilimletea cha million 1 n laki 7 akuchukua hiko chako atakiwez
ni zile Honda click? Au una maana zile za kuchaji?
No. Za mafuta.. za kuchaji ni laki 6-8 unapata
Hizo zinaanzia m3Click ina bei gani?