Natafuta pikipiki aina ya fekon

Natafuta pikipiki aina ya fekon

TEMBO WANGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
930
Reaction score
1,297
wakuu heshima kwenu, natafuta pikipiki used iliyotumika miezi isiyozidi sita, aina ya fekon au sanlg, iwe katika hari nzuri,n iwe nzima, iwe haijafunguliwa mashine, iwe nampya yaani hizi namb MC, iwe imekatiwa aina yoyote ya bima, iwe na kadi zake. kama unayo, hata leo nitafute. bajet yangu ni kuanzia lak nane mpaka milion moja (800000-1000000). mimi napatikana dar, na muuzaji pia apatikane dar. more info 0757950376. asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom