Natafuta pikipiki aina boxer used

Natafuta pikipiki aina boxer used

Jose89

New Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Habari za majukumu wanajamii wenzangu, kama kuna mtu anauza pikipiki aina ya boxer 150 ambayo imetumika lakini ina hali nzuri anichek kwa namba hizi 0683759230.Nimeandaa 1,500,000 cash endapo nitaridhishwa na Hali ya pimipiki

NB:UNAWEZA TUMA PICHA KWA WASSAPP KUPITIA NAMBA TAJWA HAPO JUU


Asanten
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom