Natafuta partner wa biashara

Natafuta partner wa biashara

vinkg

Member
Joined
Apr 29, 2017
Posts
15
Reaction score
14
Biashara ya mgahawa, beer na vinywaji baridi Eneo la Sinza A, off sheikhlango road, DSM, njiapanda kwenda Mlimani City.
Kuna SOKO zuri pamezungukwa na kumbi za harusi, garage ya magari, stand ya taxi na daladala,mafundi seremala na wachonga vyuma na majiko, Chuma chakavu wasukuma mikokoteni, waosha magari na wapita njia kuna mzunguko mkubwa wa watu.
Mchango wangu ni Eneo LA biashara (Hakuna kulipa kodi ya nyumba).maji, TV na mziki, kusimamia biashara full time.
Partner atachangia Turubai majiko, Viti na meza na vyombo, kusawazisha miundo mbinu, Mtaji Kama 1 M kuanzia. Vitendea kazi na Mtaji itabaki ni mali yake
Tutagawana faida: Mimi 45 PC na Partner 55 PC baada ya matumizi. Tutaandikishiana mkataba kwa mwanasheria akitaka
Wasiliana nami Voda 0754639, Togo 0672355824 saa 3 asubuhi mpaka 12 jioni au PM saa zote. Karibuni.
 
Number yangu ya
Simu ni Voda 0754639615 na Tigo 0672355824 katika tangazo hilo happy juu
 
Number yangu ya
Simu ni Voda 0754639615 na Tigo 0672355824 katika tangazo hilo happy juu
Nipo mbali tu ,, ila ni idea zuri sana hii ningekuwa karibu. ,,, nawatakie kila kheri waliopo karibu
 
Ufanikiwe wazo zuri mkuu.....
Even 50/50 ni fair kabisa.
 
wazo lako zuri,,, je kwa mtu anayewaza biashara zingine tofauti na mgahawa au vinywaji?? na akaona eneo lina faida, je anaruhusiwa kuwa partner?
 
Kuna fursa nyingi tu Zach biashara hapa kujipanua kama kuonyesha mipira vyakula Aina zote kama michemsho, nyamachoma, Samaki na kukaanga na. Kama Una wazo jipya ni PM tutajadili aksanteni
 
Back
Top Bottom