Natafuta partner wa biashara ya chakula

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,765
Reaction score
2,684
Habari wakuu.
Mimi ni mtaalam wa kupika vitafunwa (snacks and bites) yaani karibu vyote vinavyopatikana hoteli za kitanzania. Nataka kujiajiri rasmi.
Sasa natafuta partner atakayeweza kukodi frem iliyo kwenye sehemu yenye mzunguko mkubwa wa watu ili tufanye biashara kwa wingi.

Tutakubaliana na partner juu ya mgawanyo wa faida inayotokana na mradi huu.

Kwa aliye tayari, nicheki:
0713-039875
 
unapatikana wapi mkuu?
 
Ongeza nyama kwenye uzi huu mkuu

Uko wapi?
Ww utatoa nn? kama una mtaji/ujuzi?
Hiyo biashara itafanyikia mkoa gani?
 
Upo mkoa gani? Jf ina members dunia nzima sio darisalama peke yake. Haya tuambie mkoa ulipo..
 
Nilivyo kuelewa mimi kuwa wewe una ujuzi,je una vyombo vya kupikia na kuhudumia wateja,vipi kuhusu fenicha unazo pia?
Elezea kwa kina tukuelewa lengo lako!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…