T Tanganyika50 Member Joined Dec 8, 2011 Posts 97 Reaction score 19 Mar 17, 2012 #1 Wakuu natafuta nyumba ya kupanga iringa mjini.Tafadhali naomba msaada wenu.Bei kati ya 150,000 na 200,000 kwa malipo ya miezi 3 au 6 Mwenye taarifa za uhakika aniPM ili tuwasiliane.
Wakuu natafuta nyumba ya kupanga iringa mjini.Tafadhali naomba msaada wenu.Bei kati ya 150,000 na 200,000 kwa malipo ya miezi 3 au 6 Mwenye taarifa za uhakika aniPM ili tuwasiliane.
BAOSITA JF-Expert Member Joined Nov 2, 2011 Posts 368 Reaction score 188 Mar 19, 2012 #2 Soma thread za jukwaa hili utaona kuna mtu anapangisha. ---Believdat---
nachid JF-Expert Member Joined Apr 14, 2011 Posts 942 Reaction score 209 Mar 19, 2012 #3 we jinsi gn?