Bonny
JF-Expert Member
- Feb 21, 2013
- 13,369
- 30,009
habari ndugu zangu nahtaj msaada wenu natafuta nyumba ya vyumba vitatu kimoja kiwe master jiko choo nyumba iwe na geti na fence.
maeneo ni kuanzia kimara mwisho ubungo mwenge sinza changanyiken na maeneo ya karbu na hapo
budget yangu ni tsh 300,000 mpka 400,000. nahtaj kabla ya mwisho wa mwezi wa pili!