Una hela? Usiwe na tuhela twa mkopo ukaanza kutafuta nyumba ya kupanga!! Haya leta USD400 kuna nyumba ipo block 3,ghorofa moja 5km from ferry,electric fense,maji etc!!
Acha hizo, kopa mkopo ujenge nyuma. Unawezaje kuwa na gari wakat huna nyumba? Kwenye maisha nyumba ndo ya kwanza. Uwe na maadili uciwe bishoo sana, maisha ni magumu, utakuwa mtu wa kupanga TUU?